Na Elinipa Lupembe
Maendeleo ya Ujenzi wa Nyumba ya Walimu yenye shemu ya kuishi familia mbili (2 in 1) shule ya msingi Mokoloi kata ya Mwandet.
Ujenzi huu utagharimu kiasi cha shilingi milioni 75 , fedha kutoka Serikali Kuu kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF ikiwa ni uboreshaji wa mazingira rafiki kwa walimu kuishi katika eneo la shule.
Kukamilika kwa nyumba hiyo kutawezesha walimu kuishi ndani ya eneo la shule ambapo matokeo yake yataongeza iufanisi wa kazi kwa walimu utakaowezesha kurahisisha tendo la kufundisha na kujifunza kuongeza ufaulu pamoja na kupandisha kiwango cha taaluma shuleni.
"ARUSHA DC ni Yetu, Tushirikiane Kuijenga"
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.