Mkuu wa Divisheni ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Arusha,bwana Stedvant Kileo akizungumza na Makundi maalum toka Kata 10 za Halmashauri hiyo kuhusu umuhimu wa kuboresha uchumi wa Kaya kupitia mikopo ya vikundi inayotolewa na Taasisi za kifedha zinazotambulika na Serikali ikiwepo ile ya Halmashauri .
Kikao hicho pamoja na mambo mengine kilijadili kwa kina masuala ya Lishe bora na magonjwa yasiyoambukiza ikiwa ni ajenda ya Kitaifa.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.