• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mama Leah Long'idu 'aula' NGAUWSA

Posted on: March 29th, 2018

Mama Leah Long'idu (70) amechaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa Bodi ya maji ya mamlaka ya maji Ngaramtoni (NGAUWSA), uchaguzi uliofanyika wakati wa mkutano mkuu wa kwanza wa bodi, tangu kuzinduliwa kwake, mkutano uliofanyika kwenye ofisi za NGAUWSA eneo la Ngaramtoni.

Mama Long'ido ameshinda nafasi hiyo baada ya kumshinda mgombea mwenzake kwa kupata kura tatu kati ya kura tano zilizopigwa na wajumbe halali sita wa bodi hiyo.

Akitangaza matokeo hayo, Mtendaji Mkuu Mamlaka ya mji mdogo Ngaramtoni, Sophia Shoko, amesema kuwa, Saada Msangi amepata kura 2, na Leah Long'idu amepata kura 3 kati ya kura tano zilizopigwa.

"Kwa mujibu wa sheria, kwa matokeo hayo, ninamtangaza Leah Long'idu kuwa makamu mwenyekiti wa bodi ya NGAUWSA, nafasi atakayoitumikia kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia sasa" amesema Shoko.

Kitaaluma mama Leah Long'idu ni mwalimu, ambaye amestaafu utumishi wa umma kwa mujibu wa sheria, akiwa Mratibu wa Elimu kata ya Kiranyi halmashauri ya Arusha.

Akizungumza baada ya kutangazwa mshindi, licha ya kuwashukuru wajumbe kwa kumuamini na kumpa nafasi hiyo, Long'idu amewataka wajumbe wote kushirikiana kufanya kazi na kubuni mikakati thabiti ya kuhakikisha wananchi wa Ngaramtoni wanapata maji safi na salama sambamba na utunzaji wa mazingira hasa ya vyanzo vya maji.

Mkutano huo umetanguliwa na ziara ya wajumbe hao, ya kutembelea miradi ya maji na vituo vya kuchotea maji, kwa lengo la kujionea hali halisi ya upatikanaji wa maji katika eneo la mamlaka ya mji mdogo Ngaramtoni.

Hata hivyo wajumbe hao wa bodi wameonesha ari ya kuanza kazi kwa kasi, ili kuendandana na kasi ya serikali ya awamu ya tano ya Hapa kazi tuu pamoja na kufikia lengo la serikali la kumtua mama ndoo kwa kuhakikisha huduma za maji zinapatikana kwa asilimia 95% kwenye mji wa Ngaramtoni ifikapo mwaka 2020.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.