• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mashindano ya UMISHUMTA yafunguliwa Arusha DC

Posted on: May 20th, 2018

Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha Dkt. Wilson Mahera, amefungua mashindano ya michezo shule za msingi - UMITASHUMTA ngazi ya halmashauri, mashindano yenye lengo la kupata timu za kuiwakilisha halmashauri ngazi ya mkoa.

Ufunguzi huo umefanyika kwenye viwanja vya michezo vya shule ya sekodari Ilboru yakishirikisha timu wakilishi kutoka Klasta tano za halmashauri hiyo huku timu za wanafunzi wa elimu maalumu wakipewa kipaumbele cha ushiriki.

Akizungumza wakati akifungua mashindano hayo, Mkurugenzi Mahera, amewataka wanafunzi hao kuwa na  nidhamu wakati wote wa michezo na zaidi kuendeleza nidhamu hiyo katika kipindi chote cha masomo yao.

Aidha amewataka walimu wanaosimamia michezo na mashindano hayo, kuhakikisha wanachagua wachezaji wazuri ili kupata timu bora itakayoweza kuleta ushindi kwenye mashindano ngazi ya mkoa huku akipongeza ushiriki wa wanafunzi wenye mahitaji maalumu.

" Hakikisheni mnfanya uchaguzi makini na sahihi kwa kuchagua wachezaji wazuri ili kupata timu bora  itakayoweza kufanya vizuri kwenye mashindano ya mkoa mpaka taifa" amesema Dkt. Mahera

Akizungumza mbele ya mgeni rasmi Afisa Michezo, Halmashauri ya Arusha, Priscus Steven amesema kuwa mashindano hayo yamehusisha jumla ya wachezaji 400  kutoka Klasta tano za halmashauri ya Arusha, wachezaji watakaoingia kwenye michuano ya kutafuta wachezaji bora, watakaounda timu zitakazowakilisha halmashauri  kwenye mashindano ya UMITASHUMTA mkoa.

Afisa michezo huyo ameongeza kuwa kati ya wachezaji 400, wachezaji 120 tu ndio wanaotakiwa kuchaguliwa na kuunda timu za kuwasilisha halmashauri kwenye mashindano ya mkoa na kuitaja michezo itakayohusika ni pamoja na mpira wa miguu wavulana na wasichana, mpira wa pete, riadha, wavu, mikono, sanaa za maonesho, usafi na nidhamu.

Aidha mashindano hayo yatahusisha michezo kwa watoto wenye mahitaji maalumu,  kwa kushiriki kwenye michezo ya riadha maalum, mpira wa miguu maalumu na mpira wa kengele.

Simon Mollel, mwalimu wa kitengo maalum, shule ya msingi Ilboru amesema kuwa, wanafunzi wenye mahitaji maalumu watashiriki na wenzao  mashindano hayo huku akieleza kuwa, watoto hao wanauwezo mkubwa na wameandaliwa vizuri kushiriki michezo kama ilivyo kwa watoto wengine.

Mwanafunzi Patrick Fredrick kapten wa timu ya miguu klasta ya Oldonyosambu, amethibitisha kuwa michezo inaongeza mahudhurio ya wanafunzi shule kwa kuwa wakimaliza muda wa masomo wanaingia kwenye michezo.

Hata hivyo Patrick ameelezea changamoto ya ukosefu wa viwanja kwa baadhivya shule na shule nyingibkuwa na viwanja visivyo na viwango na vingine kuharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha.

Mashindano ya UMITASHUMTA mwaka 2018, yalianza mapema mwezi Februari ngazi ya shule, kata mpaka klasta, halmashauri, mkoa na yanategemea kuhitimishwa mwezi Juni kwa ngazi ya taifa , mashindano yenye kauli mbiu ya "Michezo, Sanaa na Taaluma ni Msingi wa Maendeleo ya Mwanafunzi katika Taifa Letu"

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA August 14, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KUFUATILIA NA USAMIZI WA HAKI ZA MTOTO KATIKA JAMII NI JAMBO MUHIMU

    August 25, 2025
  • RAIS SAMIA AMUAPISHA AMOS MAKALLA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    August 26, 2025
  • DKT. JAHANNES LEMBULUNG' LUKUMAY ACHUKUWA FOMU YA UGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI

    August 25, 2025
  • KIKAO KAZI CHA WENYEVYITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA (CEOs Forum 2025)

    August 24, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.