• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MCHOKOZA MADA AKIZUNGUMZA MAPAMBANO DHIDI YA UJINGA WAKATI MDAHALO WA MIAKA 61 YA UHURU ARUSHA DC...

Posted on: December 7th, 2022

Na Elinipa Lupembe.

Mkuu wa shule ya sekondari Losinoni, Mwl. Emmanuel Mkonongo, Halmashauri ya Arusha, akiwasilisha mada juu Mapambano dhidi ya ujinga kwa miaka 61 ya Uhuru wa Tanganyika.

Mwl, Mkonongo ameeleza namna serikali ilivyopambana kuhakikisha wananchi wake wanafuta kuzitaifisha shule zilizokuwa zinamilikiwa na wakoloni na kuendeshwa na serikali.

kupitia shule hizo, asilimia kubwa ya watanzania sasa wamepata nafasi ya kupata elimu kuanzia elimu ya awali mpaka chuo kikuu, juhudi ambazo zimewezesha nchi kupata watalamu wa fani mbalimbali ndani ya nchi, tofauti na hapo  awali serikali ilitumia watalamu kutoka nje ya nchi kutokana na kukosekana wasomi wazawa.


"Kwa sasa Serikali imetoa fursa kwa kila mtanzania kuwa na haki ya kupata elimu, kuanzia elimu ya awali mpaka chuo, kikuu, tofauti kabla ya Uhuru elimu ilitolewa kwa ubaguzi, lakini zaidi uwepo wa shule za serikali kila kata na zile za maahirika ya dini sambamba na shule binafsi kwa ujumla zimetoa wigo wa wananchi kuondokana na ujinga"


Baada ya Uhuru serikali ilijikita kwa wananchi wake kufuata ujinga kwa kuhakikisha wananchi wanajifunza Kusoma, Kuandika na kuhesabu, kwa sasa Taifa linatafuta wasomi wataalam wa fani mbalimbali na si wasomo wa KKK tatu.


Kumekuwa na maendeleo makubwa katika kupambana na ujinga hali iliyowawezesha watanzania kupambana na maadui  umaskini na maradhi  pamoja na kujikomboa kiuchumi, kiutamaduni na kajamii, mambo yaliyofanya maendeleo makubwa ya watanzania kwa sasa.


Mdahalo uliojumisha  wananchi wa halmashauri ya Arusha kujadili mada ya "MIAKA 61 YA UHURU NA MAPAMBANO DHIDI YA MAADUI UJINGA, UMASKINI NA MARADHI". ukiongozwa na Katibu Tawala Wilaya ya Arumeru Mwl. James Mchembe kwenye ukumbi wa shule ya Msingi Green Acres eneo la Sekei.


Mdahalo huo ikiwa ni maalum kuelekea maadhimisho ya sikuu ya Uhuru wa Tanganyika tarehe 09.12.2022.


ARUSHA DC

KaziInaendelea✍✍




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.