Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema serikali imeendelea kufanya maboresho na kuweka bajeti ya kuwawezesha vijana ambapo ametoa wito kwa vijana waliopo katika sekta za kilimo, mifugo,uvuvi na biashara kujipanga kutoa huduma.
Dkt.Samia amesema hayo akizungumza na Wananchi eneo la Tengeru Wilayani Arumeru Mkoani Arusha ambapo kesho tarehe 25 Juni 2023 atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya kupiga vita dawa za kulevya
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.