Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha Bw Seleman Msumi akiwa na Kamanda wa Takukuru Wilaya ya Arumeru Bwana Deo Mtui katika kikao cha kazi kilichoandaliwa na RUWASA Wilaya ya Arumeru. Kikao hicho kilichojuisha Madiwani wa Halmashauri za Arusha na Meru pamoja na Watendaji wa Halmashauri hizo kilijadili mikakati mbalimbali ya kutatua kero ya maji kwa wananchi wa Vijijini
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.