Mkurugenzi wa Arusha Dc Bw. Seleman Msumi amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi kutoka benki ya Dunia Bi. Claudia Zambra Taibo ambaye yupo Mkoani Arusha katika ziara ya kutembelea na kukagua Miradi ya TASAF.
Baadhi ya wanufaika wa mpango wa TASAF waliotembelewa na timu iliyoongozwa na Bi. Claudia Zambra walikuwa ni kutoka Kata ya Moivo Halmashauri ya Arusha, ambao kwapamoja walishukuru Serikali kwa kuwawezesha kuingia katika mpango wa ruzuku inayowezesha kupata mitaji.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.