Mkuu wa Mkoa Arusha,Mhe.Paul Christian Makonda ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa Afisa Mtendaji Kata ya Matevez, Bw.Muyai Kivuyo kutokana na tuhuma mbalimbali zilizowasilishwa na Wananchi wa Kata hiyo dhidi yake ikiwemo tuhuma ya Uongozi wa Kijiji cha Ngorbob kudaiwa kumdhulumu Mzee Samweli Sangeti eneo lake na kumlazimisha kutoa fedha kiasi cha milioni 30 za alizolipwa fidia na TANESCO ili kuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa,kutokana na malalamiko hayo.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.