Mkuu wa shule ya sekondari Mringa Mwl. Salum Magaka akisoma taarifa ya mradi wa ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa, kwa mkuu wa wilaya ya Arumeru, wakati wa uzinduzi wa Maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar halmashauri ya Arusha.
Mkuu huyo wa shule, amesema kuwa, mradi huo, umetekelezwa mwishoni mwa mwaka 2022, yakiwa ni madarasa maalumu kwa ajili ya kupekea wanafunzi wa kidato cha kwanza waliopangiwa Januari mwaka 2023
Mradi wa madar4 shule ya msingi Mringa, ulitekelezwa kwa gharama ya shilingi milioni 80 fedha kutaka serikali kuu.
Faida za mradi umewezesha wanafunzi wote waliopangwa kuanza kidato cha kwanza wameanza masomo kwa wakati , serikali imeondoa mzigo kwa wananchi na wazazi kuchangia madarasa na utapandisha kiwango cha taaluma shuleni kutokana na mazingira rafiki ya kufundishia na kujifunzia.
Tunamshukuri na kumpongeza Mheshimiwa Rais, mama Samia kwa kutoa fedha shuleni hapa na nchi nzima kwa kazi nzuri yankuboresha mazimgira ya elimi shuleni.
Kukamilika kwa vyumba hivyo vya madarasa, umewezesha kupokea jumla ya wanafunzi 576 kati ya wasichana 342 na wavulana 234 kati ya wanafunzi 728 waliopangiwa shuleni hapo.
Kauli mbiu ya Muungano 2023: "Umoja na mshikamano ndio nguzo ya kukuza uchumi wetu"
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.