• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI ARUMERU MAGHARIBI AKABIDHI FOMU ZA UTEUZI WA UBUNGE KWA MTEULE WA CHAMA CHA DEMOKRASIA MAKINI

Posted on: August 13th, 2020

Na. Elinipa Lupembe.

    Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arumeru Magharibi, Saad Mtambule amekabidhi tena, fomu za Uteuzi wa Ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi   Bw.  Hezron Kijangwa Kingazi wa Chama cha  DEMOKRASIA MAKINI.

       Mgombea huyo, aliwasili kwenye Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi eneo la Sekei majira ya  mchana na kukabidhiwa fomu hizo za Uteuzi mnamo saa 07:59 mchana.

          Aidha Msimamizi huyo wa Uchaguzi, amekabidhi fomu ya Uteuzi mgombea huyo,  kufuatia Maelekezo ya Fomu ya Uteuzi Na. 8B,  kwa mujibu wa Kifungu cha 38 (3)  na (4) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi sura ya 343 ikiweka wazi mambo yaliyojumuishwa kwenye fomu ya Uteuzi.

       Baada ya kuchukua fomu ya Uteuzi, Mgombea huyo amefikisha idadi ya Wagombe wanne kutoka vyama vinne vya siasa, kuchukua fomu za Uteuzi wa Ubunge kwa Jimbo la Arumeru Magharibi.


Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arumeru Magharibi, Saad Mtambule (kulia), akimkabidhi fomu ya Uteuzi wa Ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi Bw. Hezron Kijangwa Kijazi  kugombea nafasi ya Ubunge kupitia Chama chaDEMOKRASIA MAKINI.

Bw. Hezro Kijangwa Kijazi akisaini daftari la kukiri kupokea fomu ya Uteuzi wa Ubunge kupitia Chama cha DEMOKRASIA MAKINI, mara baada ya kukabidhiwa fomu ya Uteuzi wa Ubunge na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arumeru Magharibi.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.