• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mwanzilishi wa mradi wa maji wa vijiji vitano maarufu kama WaterAid akutana na Katibu Tawala mkao wa Arusha

Posted on: April 27th, 2018

Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la Tumaini Jipya - New Hope na Diwani wa Kaunti ya Leicestershire  Jimbo la Blaby nchini Uingereza, Louise Richardson amekutana na Katibu Tawala mkoa wa Arusha, kwa ajili ya kujadili maendeleo ya mradi wa maji wa vijiji vitano, unaotekelezwa katika halmashauri ya wilaya ya Arusha.        

Diwani Louse ambaye ndiye chimbuko la mradi huo, baada ya kuishi katika kijiji cha Lengijave kata ya Olkokola kama Volunteer na kshuhudia  adha kubwa ya maji inayowakabili wananchi wa Olkokola na kwenda nchini Uingereza kutafuta fedha na hatimaye DFID kufadhili mradi huo.

Akizungumza na mgeni huyo Ofisini kwake, Katibu Tawala mkoa wa Arusha, Richard Kwitega amesema kuwa,  kwa sasa mradi huo uko katika hatua za uchimbaji wa visima, usanifu na upembuzi yakinifu na unategemea kukamilika mwezi Septemba, 2018.

Aidha Kwitega amemshukuru Diwani  Louise, kwa kuiunga mkono serikali ya Tanzania kwa kuwahudumia wananchi na kuahidi kutoa ushirikiano kwa Shirika la Tumaini Jipya -New Hope wakati wote linapofanya kazi zake katika mkoa wa Arusha.  

Hata hivyo Mhaidiolojia katika Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Ngubila Kilyamalago amepata fursa ya kumuonesha  mgeni huyo, usanifu wa mradi mzima pamoja na michoro ya mradi huo kwa lengo la kuwa na uelewa wa pamoja wa mradi huo.

Louise ameridhishwa na hatua zilizofikiwa kwenye utekelezaji wa mradi huo na kusema kuwa mpaka sasa amepata mwanga wa wananchi kupata huduma za maji na kufikia lengo lake alilolikusudia.

Mradi huo wa vijiji vitano maarufu kama mradi wa WaterAid unatekelezwa kwenye kijiji cha Olkokola, Lengijave na vitongoji vya Seuri, Ekenywa na Ngaramtoni vya Mamlaka ya Mji Mdogo Ngaramtoni, kwa unafadhiliwa na Idara ya Maendeleo ya Uingereza DFID kwa gharama ya shilingi Bilioni 4.5.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.