Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, anawatangazia wananchi wenye sifa kuwa WAUJUMBE WA BODI YA AFYA HALMASHAURI YA ARUSHA KUOMBA NAFASI HIZO.
NAFASI ZINAZOJITAJIKA NI PAMOJA NA :-
1. WAWAKILISHI WA WATUMIAJI WA HUDUMA ZA AFYA YA JAMII nafasi 4 (ME -2 KE- 2)
2. MWAKILISHI KUTOKA KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA BINAFSI BILA FAIDA nafasi (1)
3. MWAKILISHI KUTOKA KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA BINAFSI KWA FAIDA nafasi (1)
SIFA ZA MWOMBAJI:
- UMRI NI MIAKA 25 - 70
-AWE RAIA WA TANZANIA
-AMEHITIMU ELIMU YA SEKONDARI NA KUENDELEA
-ASIWE NA WADHIFA WOWOTE KISIASA WALA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA
- ASIWE MWAJIRIWA WA HALMASHAURI YA ARUSHA.
-AWE MWANACHAMA HAI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII ( CHF/TIKA)
Waombaji wanatakiwa kuambatanisha vyeti vya Elimu, Vyeti vya kuzaliwa/ affidavity pamoja na CV.
Barua za Maombi zitumwe au kuwasilishwa kwa Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha kabla ya tarehe 03.12.2019:-
Anuani ni:-
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA,
S.L.P 2330,
ARUSHA.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.