• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

NI MRINGA TENA; BAADA YA MADARASA SERIKALI YAJENGA MABWENI MAWILI YA WASICHANA

Posted on: August 30th, 2023

Na Elinipa Lupembe

Historia nyingine inandikwa tena shule ya sekondari Mringa, baada ya ujenzi wa vyumba vya madarasa  serikali imetoa kutoa fedha kiasi cha shilingi milioni 360 kwa ajili ya ujenzi wa mabweni mawili na ukarabati wa bweni mne kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha tano na sita.

Kiasi hicho cha fedha ni muendelezo wa mkakati wa serikali wa uboreshaji wa miundombinu ya shule nchini ili kuwa na mazingira bora, rafiki na wezeshi kwa walimu na wanafunzi katika tendo la kufundisha na kujifunza kwa shule za serikali nchini.

Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha Seleman Msumi, amesema kuwa milioni 360 zitatumika kujenga mabweni mawili yenye kulaza wanafunzi 80 kila moja na kukarabati mabweni maane ya zamani yenye kulaza wanafunzi 40 kila bweni na kufanya mabweni yote kulaza wanafunzi 320.

Aidha Mkurugenzi Msumi, ameishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kuona umuhimu wa kujenga mabweni mara baada ya kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa, husani kwenye shule zenye wananfunzi wengi kama ilivyo Mringa, jambo ambalo linawapa fursa wanafunzi  kuwa na mazingira bora pamoja na muda mrefu wa kujifunza na kufanya marudio kwa kujisomea muda wote wawapo shuleni.

"Fedha hizi zimekuja wakati muafaka, kutokana na uhitaji mkubwa wa mabweni ambayo licha ya kuwapa  wanafunzi muda mrefu wa kujisomea zaidi unawapa walimu uwanda mpana wa kumudu hali ya ufundishaji na malezi kwa wanafunzi kipindi chote wawapo shule " Amesema Msumi

Naye Mkuu wa shule ya sekondari Mringa Mwl. Salum Magaka amebainisha umuhimu wa mabweni shuleni hapa, kutokana na uhitaji mkubwa wa wanafunzi kuishi shuleni jambo ambalo linawapa fursa walimu na wanafunzi kurahisisha tendo la kujifunza na kufundisha vinavyoendana na malezi kwa wanafunzi.

Uwepo wa mabweni unaiwezesha shule kuwa na ratiba zinazoenda hadi usiku na kuwafanya wanafunzi kuwa na muda mrefu wa kujisomea tofauti na mwanafunzi anayekwenda na kurudi shuleni kila siku kwa kuwa hupoteza muda mwingi njiani.

Ameitaja siri ya mafanikio na ufaulu wa juu shuleni hapo, hasa kwa wanafunzi wa kidato cha tano na cha sita ni uwepo wa mabweni ambao unawapa nafasi wanafunzi kujisomea muda wote kutokana na ratiba za masomo kwend ahadi mida ya usiku.

"Mwanafunzi akiishi bweni anatawaliwa na ratiba 'fixed'  ya shule, ipo ratiba ya kawaida ya siku, na ratiba ya kujisomea usiku ambayo humlazimu mwanafunzi kuifuata, tofauti na mwanafunzi anayeishi nyumbani ambapo hupoteza muda mwingi njiani na wengine kukosa muda wa kufanya marudio kutokana na kupewa majukumu  na kazi nyingi za nyumbani". Amesema Mwl. Magaka

Shule ya sekondri Mringa ni miongoni mwa shule kongwe zinazofanya vizuri kwenye mitihani ya kitaifa yenye kidato cha I ampaka cha VI, ikuwa na jumla ya wanafunzi 1,962 wavulana 617 na wasichana 1,345 huku wanafunzi 375 ni wa kidato cha tano na cha sita.


ARUSHA DC NI YETU, TUSHIRIKIANE KUIJENGA



Matangazo

  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WA ROBO YA TATU 2O21/2022 tarehe 09.05.2022 May 08, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MKURUGENZI WA ARUSHA DC,BW.SELEMAN MSUMI AKIWA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI HIYO KATIKA MASDHIMISHO YA MEI MOSI KIMKOA ARUSHA

    May 02, 2025
  • HERI YA MEI MOSI

    May 01, 2025
  • HERI YA SIKU YA MEI MOSI

    May 01, 2025
  • MHE. MAJALIWA MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.