• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

OFISI YA RAIS - TAMISEMI YANG'ARA TUZO YA KINARA UTOAJI HABARI KWA UMMA...

Posted on: December 17th, 2022

Na Mwandishi Wetu - Dar es Salaam


OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, imeshika nafasi ya pili kati ya Wizara 10 bora kutoa habari kwa umma.

Tuzo hizo zilizokabidhiwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari zimetolewa kwenye Kongamano la kitaifa la maendeleo ya sekta ya habari lililofanyika leo jijini hapa.

Ofisi ya Rais TAMISEMI imeshika nafasi ya pili kutokana na kuchapisha habari nyingi na za kina kwenye vyombo vya habari, kuchapisha picha, kuwa na vipindi katika redio na televisheni pamoja na matumizi bora ya mitandao ya kijamii.

Mbali na Ofisi ya Rais-TAMISEMI, nafasi ya kwanza imechukuliwa na Wizara ya Afya, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Wizara ya Maliasili na utalii, wizara ya mambo ya ndani ya nchi, wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Pia wizara ya Kilimo, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Wazee na Mkundi Maalum, Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Pia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa Tuzo Kwa Mwandishi wa magazeti ya Serikali Anastazia Anyimike Mwaipyana kutokana na mchango katika kutoa habari za wizara hiyo.

Akizungumzia Tuzo hiyo, Bi. Anastazia alisema:" nashukuru sana TAMISEMI kwa kuniheshimisha. Niwaahidi kuendelea kushirikiana na Wizara katika kuhabarisha umma katika masuala mbalimbali ikiwemo na kazi kubwa inayofanywa Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Ofisi yake ya TAMISEMI kujulisha umma miradi inayotekelezwa inayokwenda kuwanufaisha wananchi."

Pia Ofisi ya Rais TAMISEMI imempatia Mhariri na Mtangazaji wa Milard Ayo Tv Bakari Chijuba kwa kazi kubwa aliyofanya katika kutangaza kazi za Ofisi ya Rais-TAMISEMI.

Na kupitia taasisi yake ya Wakala wa Barabara za mijini na Vijijini(TARURA) wamempatia Tuzo Shabani Omari matwebe ambaye ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanahabari Mitandao ya Kijamii Tanzania ambaye pia ametoa mchango mkubwa katika kutangaza kazi za Wakala huyo.

Kongamano hili ni la kwanza kufanyika nchini na litaendelea kufanyika kila mwaka na kukutanisha Maafisa habari, waandiahi wa habari na wadau wa habari kujadili maendeleo ya sekta ya habari nchabar


KaziInaenKaziInaa✍ 


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.