Na Elinipa Lupembe
Maendeleo ya ujenzi ya chumba 1 cha darasa, shule ya Sekondari Oldonyowas uko hatua ya kupandisha lenta tayari kwa kuweka bati.
Mradi huu unajumuisha chumba 1cha darasa, viti na meza 40 kwa gharama ya shilingi milioni 20, fedha kutoka Serikali Kuu, ikiwa ni maandalizi ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza, watakaopangiwa kwa mwaka wa masomo utakaoanza Januari 2023.
ARUSHA DC
KaziInaedelea✍✍
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.