• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RAIS AKABIDHIWA MWENGE WA UHURU 2022 MKOANI KAGERA

Posted on: October 14th, 2022

Hatimaye kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Sahili Nyanzabara Geraruma amekabidhi Mwenge wa Uhuru Salama Kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Samia Suluhu Hassan, katika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa  Uhuru na kumbukizi ya baba wa Taifa  Oktoba 14 kwenye uwanja wa Kaitaba Mkoani Kagera.


Katika taarifa ya Kiongozi huyo wa Mbio za Mwenge, amebainisha kuwa Mwenge wa Uhuru mwaka 2022 umekimbizwa katika mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani na kupitia jumla ya Miradi 1,263 yenye thamani ya Shilingi Bilioni 650.


Hata hivyo kiongozi huyo amebainisha kuwa katika kutembelea miradi hiyi Mwenge wa Uhuru ulikataa kuzindua na kuweka mawe ya Msingi kwenye Miraidi 65 yenye thamani ya Shilingi Bilioni 12 iliyogubikwa na dosari ikiwemo Rushwa, Uzembe na Ubadhirifu.


Aidha Mheshimiwa Rais ametoa maelekzo kwa taasisi za kuzui na kupambana na rushwa TAKUKURU na ZAECA kufanya Uchunguzi na kuchukuwa hatua stahiki kwa wote waliobainika kufanya ubadhirifu wa fedha za umma kwenye Miradi hiyo 65 iliyokataliwa na Mwenge mara baada ya kubainika kuwa na dosari ikiwemo Rushwa Uzembe na Ubadhirifu.


Pamoja na hayo Rais Samia ametoa wito kwa Watanzania kuyaenzi Mema na Mazuri tuliyoachiwa na hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ikiwemo kuikataa Rushwa, Uzembe na Ubadhirifu wa fedha za umma.


Hata hivyo Rais Samia amewapongeza Viongozi wa Mbio za Mwenge kwa uaminifu na uzalendo mkubwa walioonyesha ikiwa ni pamoja na kuikataa miradi yenye Mashaka na dosari.


Ikumbukwe kuwa Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2022 umekimbizwa kwa siku 195 kwenye Halmashauri 195 na kuweka mawe ya Msingi na kuzindua Miradi 1,263 yenye thamani ya Shilingi Bilioni 650 Chini ya wakimbiza Mwenge 6.





Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.