Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyowasili katika Viwanja vya Bunge na kukagua gwaride Maalum la Heshima kabla ya kuingia katika ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kuhutubia na kufunga Bunge la 12 leo tarehe 27 Juni, 2025.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.