Mwanafunzi wa Darasa la Tatu Shule ya Msingi Tunduma, Ebenezer Wile Mwakasyele (8) ambaye ni mlemavu akiwa pembezoni mwa barabara wakati akimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwahutubia wananchi Tunduma Mkoani Songwe tarehe 18 Julai, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia ametoa maagizo kwa Ofisi yake pamoja na Wizara ya Afya kuhakikisha Mtoto huyo anatengenezewa mguu wa bandia mara
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.