Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo ameshiriki katika Ibada ya kumsimika Mhashamu Isaack Amani, kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki la Arusha.
Sherehe hizo za kumsimika Askofu huyo , zimefanyika katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu Jimbo Kuu Katoliki jijini Arusha.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.