Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, anawatangazia Watumishi na Wananchi wote kuwa *Tarehe 25.07.2022 ni MADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MASHUJAA TANZANIA* hivyo halmashauri itaadhimisha siku hiyo kwa kufanya usafi wa mazingira na kuotesha miti kwenye maeneo yaliyoainishwa..
****Ukisoma tangazo hili mtaarifu na mwingine****
ARUSHA DC
#KaziInaendelea✍✍
JIANDAE KUHESABIWA
RATIBA YA MAADHIMISHO HAYO IMEAMBATANISHWA
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.