Kuelekea Maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K Mongela atazindua mradi wa ujenzi wa nyumba ya mwalimu shule ya msingi Olemedeye kata ya Laroi.
Serikali imeendelea kuboresha miundo mbinu katika sekta ya elimu, inayokwenda sambamba na ujezni wa nyumba za walimu lengo likiwa ni kuimarisha makazi ya walimu shuleni ili kuinua kiwango cha taaluma shuleni.
"ARUSHA DC ni Yetu, Tushirikiane Kuijenga"
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.