• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC ARUSHA Mhe. MONGELLA AKEMEA TABIA INAYOJIRUDIA YA KUCHOMA SHULE YA SEKONDARI OLDONYOWAS

Posted on: September 22nd, 2023

Na Elinipa Lupembe


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella amekemea tabia ya wananchi  wa kata ya Oldonyowas kuchoma shule, mchezo ambao unajirudiaridia kwa shule ya sekondari Oldonyowas kuchomwa.


Akizungumza na wananchi wa Kata ya Oldonyowas na Oldonyosambu, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya soko la  Oldonyosambu,  amewataka wananchi hao kuacha mara moja tabia inayyojirudia ya kuchoma shule ya sekondari Oldonyawas


Mhe. Mongella ameweka wazi kuwa uchomaji wa shule hiyo umekuwa, wanazo taarifai za ndafni vitendo hivyo hufanywa na watu wa eneo hilo, huku akiwatuhumu wananchi hao, kuwafahamu wahalifu hao na kuwaficha.


"Tunazo taarifa za kiintelijensia wanaochoma shule ni wakazi wa hapahapa na mnawafahamu, tabia hii ikijirudia serikali itachukua hatua kali dhidi yenu, kwa kuanza na viongozi wa maeneo haya, wacheni kabisa tabia hiyo

Aidha amemtaka Diwani wa  Kata ya Oldonyowas Kijana Saruni  kwa kushirikiana na wenyeviti wa vijiji na vitongoji, kuhakikisha tabia hiyo ya uchomaji wa shule inakoma mara moja kwa kuwa licha ya kuiingizia  Serikali hasara na gharama kubwa ya ukarabati pasipo ulazima lakini zaidi inahatrisha maisha ya watoto wasio na hatia.


"Tunazo taarifa za watu wanaofanya vitendo hivyo viovu kutokea kwenye maeneo yenu na mnawafahamu, viongozi wa kata na vijiji, shirikianeni kudhibiti tabia hiyo mbali, na niwaahidi ikitokea tena serikali haitawaacha salama kijiji kizima" Amesema


Sambamba na kusikiliza kero za wananchi Mhe. Mongella amekagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta ya Elimu, Maji na miundombinu ya Barabara.


Hata hiyo, amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha, kuhakikisha miradi yote inakamilika kwa wakati na kwa viwango vya ubora unaotakiwa kulingana na thamani ya fedha zilizotolewa na Serikali.




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.