• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC MAKONDA AKUTANA NA WAZIRI MBARAWA, RELI YA KASKAZINI KUBORESHWA ILI KUIMARISHA UTALII

Posted on: January 8th, 2025

RC MAKONDA AKUTANA NA WAZIRI MBARAWA, RELI YA KASKAZINI KUBORESHWA ILI KUIMARISHA UTALII.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatano Januari 08, 2024 amekutana na kuzungumza na Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa ambapo Waziri Mbarawa ameridhia ombi la Mhe. Makonda la kuboresha reli ya Kaskazini (Tanga-Arusha) katika kuboresha huduma za Utalii Mkoani Arusha kwa kupunguza foleni.

Katika mazungumzo yao, Mhe. Makonda mbali ya kusema kuwa sekta ya uchukuzi ni muhimu kwenye kukuza na kuimarisha utalii Mkoani Arusha, amesema kuboreshwa reli hiyo pamoja na kujengwa kwa bandari kavu Mkoani Arusha kutaondoa wingi wa malori ya mizigo barabarani pamoja na kusaidia katika matunzo ya barabara katika kuzisaidia kudumu muda mrefu zaidi.
Kulingana na Mhe. Mbarawa, Arusha ni Mkoa muhimu kwa Utalii na uchukuzi ukiwa wa tatu kwa miruko ya ndege nchini Tanzania, akiahidi kuendelea kushirikiana na serikali ya Mkoa katika kufanikisha utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM ikiwemo kusimamia maboresho ya uwanja wa ndege wa Arusha, unaotarajiwa kuanza kufungwa taa hivi karibuni ambapo Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tayari imeshatenga Bilioni 11 za kufunga taa kwenye uwanja huo wa ndege Arusha.











  • emmanulimrema's profile picture




    emmanulimrema

    Mkuu wetu wamkoa atuna mengi zaidi yakukuombea kwamungu. Pamoja narais wetu wa jamhuri ya muungano wa tanzania Samia suluhu Hassan kutuletea maendeleo tuliokua tukiyaona mikoa mingine Leo hii Sasa nikwetu Wana arusha .tulinde miundombinu ya serikali kwa pamoja tusiangushe juhudi na maono ya viongozi wetu.

    4w


    See translation










  • fanuelsimon45's profile picture




    fanuelsimon45

    Jamaa ana nyota ya ukuu yaani mawaziri na viongozi wa juu kila siku wako Arusha sio kawaida na hawafanyi mkoa mwingine kama alipo Makonda, jamaa una nyota ya ukuu




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.