• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC MONGELLA AFUNGA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA MKOA.....

Posted on: August 17th, 2023


"Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amembatana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP Justin Masejo kuwatembelea na kuwajulia hali Waandishi wa Habari waliolazwa katika Hospitali ya FAME -Karatu baada ya kujeruhiwa na Vijana wa Jamii ya Kimasai wakati wakitekeleza majukumu yao ya kikazi katika Kijiji cha Endulen Wilayani Ngorongoro.


Sambamba na hilo, Mongella ameliagiza Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kuwasaka na kuwakamata watu wote waliohusika na tukio hilo la kuwashambulia Waandishi hao wa Habari wakati wakiwa katika kutekeleza majukumu yao ya kikazi Wilayani Ngorongoro. mkatengeneze timu za ushindi na mzijengee uwezo katika ngazi ya Wilaya na Halmshauri ili utekelezaji wa kazi uwe mwepesi".


Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella alipokuwa akifunga kikao kazi (Retreat) kwa ngazi ya Mkoa, Wilayani Karatu.


Amesema kikao hicho kilikuwa na mfunzo mbalimbali ikiwemo usimamizi mzuri wa rasilimali watu na mifumo iliyopo Serikalini.


"Retreat kazi yake nikukumbushana mambo muhimu yanasaidia kufanya Mkoa wetu uwe na dira inayoeleweka na itakayotoa matokeo chanya", alisema Mongella.


Niwaombe mkasimamie mifumo vizuri hasa ya ukusanyaji mapato katika Halmshauri zenu na kuziba mianya yote ya upotevu wa mapato.


Aidha, Mongella katika hotuba yake amewasisitiza viongozi wa Wilaya na Halmashauri kwenda kusimamia miradi ya maendeleo ili ikamilike kwa wakati na kwa ubora.


Amesema mafunzo waliyopatiwa yamewasaidia kujitafakari wao kama viongozi na kufahamu walipotoka na waendapo.


Nae, Katibu wa CCM Mkoa Musa Matoroka amesema amefurahishwa na mafunzo hayo na amependekeza mafunzo hayo yapelekwe ngazi za chini hadi kwa wenyeviti wa Vijiji ili nao waweze kujengewa uwelewa utakaowasaidia katika utendaji wao wa kazi.


Kikao kazi hicho kiliaanza rasmi Agosti 13 na kufunguliwa na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Angellah Kairuki na yamefungwa rasmi Agosti 16 na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella.


RS -ARUSHA

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA August 14, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KUFUATILIA NA USAMIZI WA HAKI ZA MTOTO KATIKA JAMII NI JAMBO MUHIMU

    August 25, 2025
  • RAIS SAMIA AMUAPISHA AMOS MAKALLA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    August 26, 2025
  • DKT. JAHANNES LEMBULUNG' LUKUMAY ACHUKUWA FOMU YA UGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI

    August 25, 2025
  • KIKAO KAZI CHA WENYEVYITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA (CEOs Forum 2025)

    August 24, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.