Na Elinipa Lupembe
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongella akisaini kitabu cha wageni kwenye ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Arusha,mara baada ya kuwasili makao makuu ya halmashauri hiyo tayari kwa ziara ya siki mbili ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendekeo.
Akiwa halmashauri ya Arusha, Mkuu huyo wa mkoa, atafanya ziara ya siku mbili tarehe 18- 19.09.2023 ya kukagaua utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika sekta ya Elimu sekondari na Msingi, miundombinu ya barabara na maji, pamoja na kufanya mikutano ya hadhara na kusikiliza kero za wananchi katika kata za Oldonyowas na Bwawani.
Arusha DC ni Yetu, Tushirikiane Kuijenga
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.