• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI INATAMBUA MCHANGO WA VIONGOZI WA DINI NA KIMILA-MAJALIWA

Posted on: February 28th, 2025

SERIKALI INATAMBUA MCHANGO WA VIONGOZI WA DINI NA KIMILA-MAJALIWA_


*Asema Falsafa ya 4R ya Rais Samia imesaidia kujenga jamii ya Watanzania yenye Amani, Umoja, Mshikamano.*


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inatambua na kuthamini kazi inayofanywa na viongozi wa dini pamoja na wa kimila katika kuhakikisha nchi inakuwa na ustawi wa jamii.


Amesema ni jambo la faraja kuona wakati wote viongozi hao wamekuwa wakifanya kazi na kuvuka mipaka ya kiroho na kugusa ustawi na maendeleo ya jamii katika nyanja mbalimbali.


Ameyasema hayo Jumatano  alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Maridhiano ( Maridhiano Day), iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Mkoani Arusha.

"Serikali inatambua na kuthamini mchango wenu mkubwa katika kufanikisha masuala muhimu ya kitaifa yanayowaunganisha Watanzania wote, ikiwemo uhamasishaji wa waumini katika kampeni mbalimbali muhimu kwa Taifa. Ninawasihi endeleeni kutoa ushirikiano huo kwani sauti zenu zina nguvu kubwa katika jamii."


Aidha, Mheshimiwa Majaliwa ametoa wito kwa viongozi hao kuendelea kushirikiana na Serikali katika kudumisha amani ili Watanzania waweze kushiriki kikamilifu katika shughuli za uzalishaji mali.


"Ninatambua JMAT iko kwa lengo hilo, hivyo endeleeni kuongeza wigo wa kuhamasisha na kudumisha upendo, amani umoja na mshikamano hapa nchini."

Amesema suala la kudhibiti mmomonyoko wa maadili limeendelea kuwa ajenda ya kudumu ya viongozi hao. "Ninawasihi sana endeleeni kukemea vikali vitendo vyote ambayo ni kinyume na maadili ya dini na utamaduni wa Mtanzania."


Katika hatua nyingine, Mheshimiwa Majaliwa amesema Falsafa ya 4R iliyoasisiwa na Rais Dkt. Samia imekuwa chachu katika kuimarisha Maridhiano, Ustahimilivu, Mageuzi na Mabadiliko hivyo kujenga jamii ya Watanzania yenye Amani, Umoja,

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.