• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI YANUSULU VIFO VYA KINAMAMA NA WAMTOTO KATA YA BWAWANI, YEJENGA KITUO CHA AFYA

Posted on: July 10th, 2023


Wananchi wa Kata ya Bwawani wameishukuru Serikali kwa kuwajengea kituo cha Afya kwa gharama ya shilingi milioni 350, fedha kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ambacho kitasaidia kupunguza vifo vya kinamama na watoto kutokana na ukosefu wa kituo cha afya kwenye Kata hiyo.

Wakizungumza wakati ujenzi wa kituo hicho ukiendelea, wananchi hao wamesema kuwa, upatikanaji wa kituo hicho cha afya utaleta manufaa makubwa, kwani hapo awali walikua wanatembea umbali mrefu Kwenda kufuata huduma kwenye kata Jirani ya Nduruma.

“Tulikua tulikuwa na adha kubwa sana ya watu kutembea umbali wa zaidi ya kilometa 10 Kwenda kufuata huduma za matibabu  kwenye kituo cha afya cha Nduruma lakini kwa sasa mradi huu ukikamilika akina mama na watoto watapata huduma hapa”. amesema Patrisia Kaaya, mkazi wa kata ya Bwawani.

Hata hivyo, furaha hio kubwa waliyoipata kutokana na ujenzi wa mradi huo, wananchi hao wamejitokeza kwa wingi kufanya kazi kama sehemu ya nguvu kazi kwenye mradi huo, Huku wakiomba Serikali kuzidi kuongeza miradi mingine ikiwemo ujenzi wa nyumba za walimu pamoja na Nyumba za watumishi wa afya kwenye Kata hiyKwa

Kwa upande wake Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, amesema kuwa mradi huo ukikamilika unatarajiwa kuhudumia Zaidi ya wananchi elfu 18 wa kata hiyo na kata Jirani.“Tutaweza kupunguza vifo vya kina mama na watoto ambao walikuwa wanafuata huduma hizi za kiafya mbali, inapo tokea dharura kwa mgojwa kutembea umbali mrefu inapelekea kuongezeka kwa vifo”. Amesema Mkurugenzi Msumi.

Naye Mratibu wa TASAF Halmashauri ya Arusha, Grace Makema, amesema kuwa kata ya Bwawani ni moja ya kata ambazo zinapitia changamoto nyingi za huduma za kiafya kutokana na ukosefu wa kituo cha afya hivyo lengo la mradi huo ni kuboresha huduma za kiafya na unatarajiwa kukamilika ndani ya miezAwali

Awali, kata ya Bwawani inazungukwa na Halmashauri za Meru na Simanjiro ambazo wananchi wake wanatarajiwa kupata huduma kwenye kituo hicho cha afya kitakapo kamilika.






Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.