• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

SERIKALI YATOA MILIONI 250 TENA UKAMILISHAJI UPANUZI ZAHANATI MWANDETI KUWA KITUO CHA AFYA

Posted on: April 18th, 2022

Serikali kupitia fedha za tozo awamu ya pili, imetoa kiasi cha shilingi milioni 250, kwa ajili ya kuongezea nguvu za ukamilishaji wa upanuzi wa zahanati ya Mwandeti kuwa kito cha Afya, halmashauri ya Arusha, wilayani Arumeru.

Akizungumza na mwandishi wetu, Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, amekiri kipokea kiasi hicho cha fedha kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya upanuzi wa zahanati hiyo ya Mwandeti,  lengo likiwa ni kuberesha miundombinu ya zahanati hiyo na kuipandisha hadhi kuwa Kituo cha Afya.

Amesema kuwa fedha hizo tayari zimeingizwa kwenye akaunti ya zahanati ya Mwandeti, huku shughuli za utekelezaji wa mradi huo zimeshaanza, lengo likiwa ni uboreshaji wa miundombinu ya vituo vya afya nchini na kuwarahisishia wanachi upatikanaji wa huduma za afya katika maeneo yao.

"Mradi huo unatekelezwa kupitia 'forced akaunt na local fundi', na kiasi hicho cha fedha kitatumika kujenga Jengo la mionzi (X-ray), jengo la kufulia (laundry) na kujenga njia za kutembelea wagonjwa (walk ways), na kiasi cha fedha kitatumika katika ukamilishaji wa jengo la mama na mtoto ( maternity word) na jengo la upasuaji ( theater), majengo ambayo tayari yalishanza kujengwa kwa fedha za awamu ya kwanza". amefafanua mkurugenzi Msumi.

Kaimu Afisa Mipango na Mchumi halmashauri ya Arusha,  Alberth Mahoo amefafanua kuwa, kwa mwaka huu wa fedha 2021/2022, serikali ilishatoa fedha kiasi cha shilingi milioni 490 kwa ajili ya upanuzi wa zahanati hiyo ya Mwandeti ili kuwa Kituoa cha Afya, kwa wamu ya kwanza na sasa imetoa kwa awamu ya pili.

Mchumi Mahoo amebainisha mchanganuo wa fedha hizo  milioni 490 kwa awamu ya kwanza, kuwa shilingi milioni 150 zilitumika kujenga jengo la mama na mtoto, milioni 250 zilijenga jengo la wagonjwa wa nje na maabara, huku shilingi milioni 90 zikitumika kujenga nyumba ya watumishi ya kuishi familia tatu (3 in 1).

Hata hivyo wananchi wa Mwandeti wameendelea kuishukuru serikali ya awamu ya sita, kwa kuwapa fedha za ujenzi wa kituo cha afya, huduma ambazo hapo awali walitembea umbali mrefu kuzifuata huku wakitumia gharama kubwa za usafiri hasa wakati wa usiku.

ARUSHA DC

KaziInaendelea✍✍









Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.