• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DED ARUSHA DC: SERIKALI YATOA MILIONI 760 UJENZI WA VYUMBA 38 VYA MADARASA SHULE 15 ZA SEKONDARI

Posted on: October 6th, 2022

Na Elinipa Lupembe

Serikali ya awamu ya tano, inayoongozwa na mhe. Rais, Samia Suluhu Hassan, imetoa fedha kiasi cha shilingi milioni 760 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 38 vya madarasa, kwa shule za sekondari halmashauri ya Arusha, wilaya ya Arumeru.

Kiasi hicho cha fedha kitatumika kujenga vyumba vya madarasa 38 kwa gharama shilingi milioni 20 kwa darasa likiwa na madawati 40  na kufanya jumla ya madawati 1,520 kwa shule 15 za sekondari ikiwa ni maandalizi ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza ifikapo Januari 2023.

Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha Seleman Msumi, amethibitisha kupokea kiasi hicho cha fedha, na kuweka wazi kuwa, fedha hizo zimewekwa kwenye akaunti za shule huku ujenzi huo ukiteelekezwa kwa kutumia 'Force Akaunt', sambamba na matumizi ya ramani za madarasa ya 'EP4R'.

Mkurugenzi Msumi amezitaja shule 15 za sekondari ni pamoja na Bangata (1), Einoti (4), Endevesi (1), Kiranyi (2), Likamba (3), Losikito (1), Losinoni (2), Mringa (4), Mukulat (1), Musa (1), Oldadai (11), Olemedeye (1), Oljoro (2), Osiligi (1) na Sambasha (3) na kufanya jumla ya madarasa 38.

Aidha Mkurugenzi Msumi, kwa niaba ya wananchi wa halmasahuri ya Arusha, amemshukuru mheshimiwa Rais kwa kuboresha miundombinu ya shule, ambayo inachochea na kuhamasisha tendo la kujifunza kwa wanafunzi na kufundisha kwa walimu kutokana na mazingira bora ya shule.

"Tunamshukuru sana mama, halmashauri ya Arusha ina wanafunzi 9,711 wanaofanya mtihani wa darasa la saba 2022, tunategemea ufaulu wa asilimia 100, hivyo madarasa hayo, yatasaidia kupunguza msongamano wa wanafunzi madarasani ifikapo Januari, 2022". Amefafanua Msumi

Ifahamike kuwa serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 5.3 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa  268 kwa shule 88 za sekondari kwa halmashauri 7 za mkoa wa Arusha.


 *ARUSHA DC

KaizIendleee




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.