Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha Bw. Seleman Msumi, ameshiriki mafunzo ya Ujasiriamali yaliyotolewa na shirika la hand in hand kwa lengo la kuwawezesha wanawake kuunda biashara endelevu.
"Dhana ya Ujasiriamalini ni dhana ya ukombozi kwa namna moja au nyingine, kwa yule ambaye anapambana na kuakikisha anatoka na anakuza kipato chake ili kupambana na umasikini" Seleman Msumi
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.