Wanawake wa Halmashauri ya Arusha wameungana na wanawake wenzao duniani kusherehekea siku ya wanawake duniani inayoadhimishwa tarehe 8 Machi kila mwaka.
Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu ya Tanzania ya Viwanda wanawake ni msingi wa mabadiliko yamefanyika kwenye viwanja vya ofisi ya kata Olmotonyi eneo la Ngaramtoni na kuhudhuriwa na mamia ya wanawake.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.