Watumishi wa Halmashauri ya Arusha wameungana na wafanyakazi wenzao kusherehekea sikukuu ya wafanyakazi Mei Mosi iliyofanyika kimkoa katika uwanja wa Sheik Amri Abeid Jijini Arusha, Mgeni rasmi katika sherehe hizo alikua Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Mashaka Gambo.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.