Somo la shule salama na Ulinzi na usalama wa mtoto kuanzia nyumbani mpaka shuleni limewaingia Wazazi wa kijiii cha Olmapinu, kata ya Bwawani, mara baada ya kupewa somo hilo na wataalamu wa halmashauri ya Arusha wakati wa ujenzi wa vyumba vya madarasa ya awali shule ya msingi Olokii.
Wazazi hao wamekiri somo hilo limewaingia vema kutokana na kupata semina fupi kupitia program ya shule salama inayosisitiza wazazi, walezi jamii kushirikiana na walimu kuhakikisha ulinzi na usalama wa mtoto kuanzia nyumbani, awapo njiani mpaka kufika shule, mtoto huyu anatakiwa kulindwa dhidi ya ukatili wa aina yoyote ile.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.