Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibari Mhe. Zubeir Ali Maulidi anategemea kuwa mgeni rasmi kwenye Ufunguzi wa Maonyesho ya NaneNane Kanda ya Kaskazini yanayoendelea kwenye viwanja vya Themi -Njiro Jijini Arusha.
Kauli Mbiu: Vijana na Wanawake ni Msingi Imara wa Mifumo Endelevu ya Chakula"
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.