**TANGAZO LA KUITWA KAZINI***
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha, Saad Mtambule, anawatangazia waombaji walioomba kazi ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II na Katibu Mahsusi Daraja la III na kufanya usaili tarehe 26 - 27 Juni, 2020 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama ilivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuripoti Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Arusha kuanzia tarehe 21/07/2020 hadi 03/08/2020.
Kwa wale ambao majina yao hayapo katika Tangazo hili watambue kuwa hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba nafasi Halmashauri itakapotangaza nafasi nyingine:
MAJINA YA WAOMBAJI KAZI WANAOITWA KAZINI Ni kama ifuatavyo:-
I.MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II
1. ZEBEDAYO SIMON MARWA
2.JOSHUA P.HAPPE
II. KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III
1.NOELINA YUSUPH HUSSEIN
2.JULITA NICODEMUS NAKOLOMWA.
Aidha waombaji wote waliofaulu usaili wakati wa kuripoti watatakiwa kuwasilisha vyeti halisi (original certificates) kama ifuatavyo:
i.Cheti cha kuzaliwa
ii. Cheti cha kuhitimu elimu ya Kidato cha nne (IV) na Sita (VI) kwa wale waliofika kiwango hicho.
iii. Cheti cha taaluma na mafunzo mbalimbali.
iv. Picha 2 (Passport size)
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.