TANGAZO TANGAZO TANGAZO
MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA ARUSHA KWA KUSHIRIKIANA NA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA ANAWATANGAZIA WANANCHI WANAOHITAJI KUPATA MSAADA WA KISHERIA BILA MALIPO, KUFIKA KWENYE SHULE YA MSINGI ILKIDING’A - UWANJA WA KANISA LA LUTHERANI.
MSAADA WA KISHERIA UTAKAOTOLEWA NI PAMOJA NA: -
1. MIGOGORO YA ARDHI NA MIPAKA
2. MIGOGORO YA NDOA
3. MIGOGORO YA URITHI NA MIRATHI
4. MIGOGORO YA MATUNZO YA WATOTO
5. MIGOGORO YA AJIRA
KAMPENI HIYO ITAFANYIKA KWA SIKU MBILI TAREHE 08 – 09 . 08 . 2022.
MUDA : KUANZIA SAA 2:00 ASUBUHI 11:00 JIONI
UKISIKIA TANGAZO HILI MWAMBIE NA MWINGINE
NJOO UPATE MSAADA WA KISHERIA BURE.
"Utatuzi wa Migogoro kwa njia mbadala, Hupunguza Uadui na kuzuia Umasikini"
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.