Na Elinipa Lupembe
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi anawatangazia wananchi wote kushiriki kwenye zoezi la usafi wa Mazingira wa mwisho wa mwezi tarehe 30/7/2022. Kila mwananchi anatakiwa kufanya usafi kwenye maeneo yote yanayomzunguka kuanzia saa 12:00 asubuhi hadi saa 4:00 asubuhi.
Aidha usafi wa pamoja utafanyika katika kata ya Oldonyowas.
SHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI.
JIANDAE KUHESABIWA
RATIBA YA USAFI KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI IMEAMBATANISHWA.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.