Halmashauri ya wilaya ya Arusha inategemea kutumia huduma za wakala wa kukusanya mapato ya halmashauri kwa kipindi cha kuanzia tarehe 01. Julai, 2018 Hadi tarehe 30 Juni 2019.
Hivyo Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha anapenda kuwaalika watu binafsi, Makampuni, Mashirika, Taasisi na Vikundi vya watu vilivyosajiliwa kisheria, wenye nia na uwezo wa kufanyakazi hizo kutuma maombi ya Zabuni hizo.
Pakua hapa kuona Tangazo hilo
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.