• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA TAREHE 17 HADI 19 APRILI 2020

Posted on: April 14th, 2020

Afisa Mwandikishaji, Jimbo la Arumeru Magharibi, Paulus Kessy, anawatangazia Wananchi wote kuwa, Uboreshaji wa Daftati la kudumu la Wapiga Kura Awamu ya pili, utafanyika kwa siku tatu, kuanzia tarehe 17 hadi 19/04/2020.


Wapiga Kura wote wanatakiwa kwenda kuhakiki taarifa zao, kwenye Vituo Vilivyoainishwa kwenye Kata zao.

VITUO VITAFUNGULIWA KUANZIA SAA 08:00 Asubuhi mpaka saa 12:00 jioni.

ZOEZI LA UANDIKISHAJI LITAHUSISHA : -

 
 Kuandikisha wapiga Kura Wapya waliotimiza umri wa miaka 18 na zaidi, na wale watakaotimiza umri huo ifikapo siku ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2020.
 Kuandikisha wale wote wenye sifa lakini hawakujiandikisha     katika uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura awamu ya     kwanza.
 Kutoa Kadi mpya kwa Wapiga Kura waliopoteza kazi zao
 Kuhamisha taarifa za Wapiga Kura waliohama Kata au      Jimbo la Uchaguzi na kuhamia katika eneo jingine.
 Kurekebisha taarifa za Wapiga Kura ambazo zilikosewa
 Kuondoa Wapiga Kura waliopoteza sifa kama vile kufariki.

 UTARATIBU WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI
 
 Kila Kata kutakuwa na Kituo Kimoja, Mwandishi Msaidizi na BVR KITs ambayo itakuwa na Orodha ya majina ya  Vituo vyote vilivyoandikishwa awamu ya kwanza.

 Mpiga kura yeyote anaweza kuboresha taarifa zake kwa kuzingatia kituo anachotaka kupiga kura siku ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2020.
 
KUMBUKA: SIFA MUHIMU ZA KUKUWEZESHA KUPIGA KURA SIKU YA UCHAGUZU MKUI MWA 2020 NI KUWA NA KADI YA MPIGA KURA.
 

                     ******Kadi yako kura yako, nenda kajiandikishe*****
 

MUHIMU: KUMBUKA KUZINGATIA KANUNI ZA AFYA KWA KUFUATA Maelekezo                      utakayopewa Kituoni, ili kuepusha maambukizi ya Virus vya CORONA.



VITUO VYA KUBORESHA TAARIFA ZA MPIGA KURA KATA 27 ARUSHA DC

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.