Flora Zelothe wa Chama Cha Mapinduzi CCM ameshinda nafasi ya Udiwani wa Kata ya Musa baada ya kuwashinda wapinzani wake wa vyama vya ACT_Wazalendo na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Akitangaza matokeo hayo kwenye Shule ya Sekondari Musa Msimamizi Msimamizi wa Uchaguzi kata ya Musha Twati Sukurieti amesema kuwa Flora Zelote wa CCM amepata kura 2,629 kati ya kura halali 3,802 sawa na ailimi 69.14 wakati Piniel wa chama cha ACT- Wazalendo amepata kura 12, na Eliud Laizer wa CHADEMA amepata kura 1,152.
Sukuriet amemalizia kwa kutaja idadi ya wapiga kura waliojiandikisha ni 5,631, watu waliopiga kura ni 3,892, kura halali ni 3,803 na kura zilizokataliwa ni 90.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.