Kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 8 machi,2025 Halmashauri ya Arusha imeanza mabonza ya michezo mbalimbali yakiwemo michezo ya bao kwa wanawake,mpira wa pete,rede na riadha.
Tunawapongeza wanawake wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha waliojitokeza kushiriki maadhimisho ya siku ya wanawake Kiwilaya kupitia michezo mbalimbali. Tumeitendea haki kauli mbiu ya Maadhimisho haya *"Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji*"
Pia tunawapongeza *Wababa wote wa waliojitokeza kutuunga mkono na kutuwezesha kufanikisha Jambo letu Kongole kwenu*
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.