Maendeleo ya ujenzi wa chumba 1 cha darasa shule ya sekondari Olmotony Forest, mradi unaogharimu Tsh. Milioni 20, fedha za mkopo wa riba nafuu kutoka shirika la fedha Duniani, ikiwa ni mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO 19.
ARUSHA DC
#KaziInaendela✍✍
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.