Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe.Amir Mohammed Mkalipa( mwenye shati bluu bahari) leo tarehe 11/01/2025 amewaongoza Wananchi wa Kijiji cha Loovilukunyi Kata ya Kisongo pamoja na Wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Wilaya Arusha kufanya usafi katika shule mpya ya Sekondari ya Loovilukunyi ikiwa ni maandalizi ya kufunguliwa rasmi na kuanza masomo kwa wanafunzi wakidato cha kwanza tarehe 13/01/2025.
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.