• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

VIJANA WATAKIWA KUTUMIA FURSA YA MIKOPO INAYOTOLEWA NA SERIKALI KUWEKEZA KIUCHUMI....

Posted on: June 29th, 2023

Na Elinipa Lupembe


Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023, Ndugu Abdallah Shaib Kaim amewataka vijana nchini kutumia fursa ya mikopo isiyokuwa na riba inayotolewa na serikali kuwekeza katika miradi ili kujikwamua kiuchumi na kukabiliana na changamoto ya ajira nchini.


Akikagua mradi wa Vijana wa Kidali Youth Group kata ya Mwandet, wanaojishughulisha na biashara ya ufugaji wa kununua na kuuza mifugo, waliopewa mkopo wa shilingi milioni 10 kupitia asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri amesema kuwa, serikali inayodhamira njema kwa vijana wakitanzania hivyo kutumi fursa hiyo adhimu ambayo itawakwamua kiuchumi na kijamii pia.

Amesema kuwa serikali yao ya awamu ya sita inawajali vijana,, ni vema vijana kutumia fursa hiyo kupambana na hali duni ya maisha huku wakitambua kuwa  Jemadari Dkt Samia Suluhu Hassan kama mama yao anatamani mapinduzi ya kifkra, kijamii na  kiuchumi kutoka kwa vijana ambao ndio nguzo ya Taifa la Tanzania.


"Nikiwa kama kijana ninafurahia na ninafarijika sana, Mheshimiwa Rais licha ya kutumia fedha nyingi kutekeleza miradi mikubwa na ya kimkakati ya maendeleo nchini, hakuwaacha nyuma vijana, basi na sisi kama vijana tujivunie fursa hiyo na tusimuangushe mhesimiwa Rais , tufanye kazi bila kuchoka ili kulijenga Taifa letu la Tanzania" Ameweka wazi kiongozi huyo wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa.


Aidha amezitaka halmashauri kupitia watalamu wake, kuendelea kuwasimamia vijana hao kuendesha miradi yao ili kuwa na nidhamu katika  katika matumizi ya fedha ili mraci hiyo iweze kukua, na kuongeza kuwa halmashauri ziangalie namna ya kuwaongezea fedha vijana wenye uthubutu ili kukuza mitaji yao.


Hata hivyo amewapongeza vijana wa kikundi cha Kidali Youth kwa uthubutu na ubunifu wa biashara hiyo na kuwataka kusimamia vema kazi yao kwa kuwa itaongeza pato la mtu mmoja mmoja, familia na hatimaye Taifa.


KAULI MBIU: " TUNZA MAZINGIRA, OKOA VYANZO VYA MAJI KWA USTAWI WA VIUMBE HAI KWA UCHUMI WA TAIFA"

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.