• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

VIKUNDI 110 VYANUFAIKA NA MIKOPO YA 10% MAPATO YA NDANI ARUSHA DC 2021/2022.

Posted on: August 11th, 2022

Na Elinipa Lupembe

Jumla ya vikundi 110 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, halmashauri ya Arusha, wamenufaika na mikopo siyokuwa na riba inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri kwa mwaka wa fedha uliomalizika 2021/2022.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii, Angela Mvaa, amefafanua kuwa, kwa mwaka wa fedha uliopita 2021/2022, halmashauri imeweza kutoa mikopo yenye thamani ya shilingi milioni 781.6 na kuvifikia jumla ya vikundi 110 sawa na 87.5%, kutoka kwenye makisio ya shilingi milioni 209.1 zilizopangwa kukopeshwa kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ikiwa ni ongezeko la asilimia 49. kulinganisha na shilingi milioni 384 zilizokopeshwa kwa mwaka wa fedha 2020/2021.

"Kumekuwa na ongezeko la vikundi kuomba mikopo inayotolewa na serikali kupitia halmashauri, hii ni kutokana na ushirikishwaji baina ya wananchi, viongozi, wadau pamoja na kazi kubwa inayofanywa na Maafisa Maendeleo ya Jamii kuanzia ngazi ya kata, jitihada ambazo zimewawezesha wananchi wengi kuwa na uelewa mpana unaowawezesha kutumia fursa hii adhimu ya kupata mikopo hiyo, hata hivyo jumla ya vikundi 522 vilifikiwa na kupatiwa mafunzo ya mikopo na ujasiriamali" Ameweka wazi Mvaa

Mvaa ametoa mchanganuo wa fedha hizo zilizotolewa kwa mwaka huo wa fedha kiasi cha shilingi milioni 781.6, kuwa  jumla ya shilingi milioni 601 zimetolewa kwa vikundi 84 vya wanawake, milioni 170 kwa vikundi 20 vya vijana, na milioni 10.6 watu 6 wenye Ulemavu kwa kata zote 27 za halmashauri ya Arusha.

Nao vijana wa kikundi cha Harmony Youth Group, kata ya Moivo, wanaojishughulisha na ushonaji wa nguo za shule 'school uniform' wamekiri kunufaika na mikopo hiyo isiyokuwa na riba inayotolewa na serikali kupitia asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri, mikopo ambayo hapo awali hawakuwa na ufahamu mzuri juu ya mikopo hiyo.

Mwenyekiti wa Kikundi cha Harmony Youth Group, Janeth Mollel amesema kwa kikundi chao kimenufaika na mikopo hiyo kwa kukopeshwa kiasi shilimgi milioni 10, fedha ambazo zimewawezesha kupanua mradi wao wa ushonaji kwa kununua mashine za kisasa na kuipandisha hadhi kazi yao na kuwa na hadhi ya kiwanda kidogo.

"Tulikuwa na mradi wa kushona, tuliouanzisha kwa kuchangishana pesa, na tulikuwa tunashona kwa mashine za kawaida, baada ya kupata mkopo tumenunua mashine za kisasa, na sasa tunajipambanua kuwa na kiwanda kidogo, ambacho kimetuwezesha kupata kazi nyingi za ushonaji wa uniform tofauti na hapo awali". Amefafanua Mwenyekiti Janeth.

Serikali imeendelea kutekeleza mpango wa kuwawezesha wanachi kiuchumi kwa kutoa mikopo isiyokuwa na riba, kupitia asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmasahuri zake, mikopo ambayo imeleta matokeo chanya katika kuwawezesha wananchi kujiongezea kipato kwa maendeleo ya wananchi na taifa kwa ujumla.


SHIRIKI SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022

JIANDAE KUHESABIWA 23.08.2022



Eneo la kiwanda kidogo cha ushonaji kinachoendesshwa na Kikundi cha Vijana cha Harmony Youth Group, kata ya Moivo, kilichopewa mkopo wa shilingi milioni 10 ikiwa ni 10%ya mapato ya ndani halmashauri ya Arusha.





Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA August 14, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KUFUATILIA NA USAMIZI WA HAKI ZA MTOTO KATIKA JAMII NI JAMBO MUHIMU

    August 25, 2025
  • RAIS SAMIA AMUAPISHA AMOS MAKALLA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    August 26, 2025
  • DKT. JAHANNES LEMBULUNG' LUKUMAY ACHUKUWA FOMU YA UGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI

    August 25, 2025
  • KIKAO KAZI CHA WENYEVYITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA (CEOs Forum 2025)

    August 24, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.