• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAHAZINI NA WAHASIBU WATAKIWA KUSIMAMIA UKUSANYAJI WA MAPATO NA KUDHIBITI UPOTEVU WA FEDHA..

Posted on: August 17th, 2023

Asila Twaha, OR - TAMISEMI


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Angellah Kairuki amewataka Wahazini na Wahasibu wa Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kusimamia ukusanyaji wa mapato  na kudhibiti upotevu wa fedha katika maeneo yao ya kazi ili kuiwezesha Serikali kupanga  na  kutekeleza malengo yake  katika miradi ya maendeleo.


Mhe. Kairuki ametoa wito huo Agosti 17, 2023  kwa Wahazini na Wahasibu wa Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kikao kazi  cha Ukaguzi wa Hesabu za Mwisho wa Mwaka wa Fedha  2022/23 kilichofanyika jijini Dodoma.


Akielezea umuhimu wa ukusanyaji wa mapato katika kupanga na kutekeleza miradi  ya maendeleo kwenye sekta ya afya, elimu na miundombinu  kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi, Mhe. Kairuki amewahimiza maafisa hao kusimamia vyanzo  vipya vya mapato vilivyoainishwa  ikiwa ni pamoja na kuzuia mianya ya upotevu wa fedha.


“Wapo baadhi ya maafisa wanakengeuka kimaadili lakini  kama Serikali  tutendelea kuhimiza uadilifu ili watekeleze majukumu yao kwa kuzingatia Kanuni, Sheria, Taratibu na Miongozo iliyopo,” Mhe. Kairuki amesisitiza.


Ili kudhibiti upotevu wa mapato, Mhe. Kairuki ameagiza  viongozi  wenye dhamana ya kuteua mawakala kuzingatia vigezo na sifa stahiki ili kuwapata makawala watakaosimamia kikamilifu ukusanyaji wa mapato niaba ya Halamashauri.


Aidha, ameelekeza ukaguzi wa mashine  za kukusanyia mapato ili kubaini ambazo hazifanyi kazi vizuri katika ukusanyaji wa mapato na kuchukua hatua stahiki.


Sanjari na hilo, amewataka Makatibu  Tawala Wasaidizi Idara ya Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi (MMI) kuhakikisha wanasimamia  hesabu zinafungwa vizuri ili kuepuka hoja za ukaguzi.


Kwa upande wa  Mwenyekiti wa Wahazini Bw. George Masauri amesema kikao hicho kimewawezesha kubadilishana uzoefu wa kazi na kuwaongezea weledi hivyo ifikapo  Agosti 31, 2023 Halmashauri zote 184 Tanzania Bara zitakua zimeshafunga hesabu.


OR - TAMISEMI

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA HALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA August 14, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KUFUATILIA NA USAMIZI WA HAKI ZA MTOTO KATIKA JAMII NI JAMBO MUHIMU

    August 25, 2025
  • RAIS SAMIA AMUAPISHA AMOS MAKALLA KUWA MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    August 26, 2025
  • DKT. JAHANNES LEMBULUNG' LUKUMAY ACHUKUWA FOMU YA UGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI

    August 25, 2025
  • KIKAO KAZI CHA WENYEVYITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA (CEOs Forum 2025)

    August 24, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.