• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WATU WAWILI WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA KWA KUMBAKA NA KUMLAWITI MTOTO WA MIAKA 8

Posted on: June 9th, 2023

Mahakama ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha imewahukumu wanaume wawili kifungo cha Maisha kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka nane mkazi wa kijiji Emaoi kata ya Olmotony, halmashauri ya Arusha.

Wanaume hao ni Bw. Michael Lukas (52) na Bw. Gabriel Ambrose (33) ambao ni wakazi pia wa kijiji cha Emaoi, baada ya kukutwa na hatia ya kutenda makosa hayo kwa nyakati tofauti.

Katika kesi hiyo ambayo imeendeshwa na mahamiku wawili kwa nyakati tofauti, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya wilaya, Mhe. Gwantwa Mwankuga na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya Mhe. Nguvava waliwatia hatiani wanaume hao wwawilina kuwahukumu kifungo cha Maisha jela baada ya kujiridhisha na ushahidi uliotolewa pasipo na shaka yoyote.

Mtuhumiwa wa kwanza Gabriel Ambrose (33)alitiwa hatiani na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya Mhe. Nguvava mapema Mei 30 mwaka huu kwa kosa hilo huku mtuhumiwa wa pili akiwasomewa hukumu yake leo Juni 09, 2023 na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya wilaya, Mhe. Mwankuga.

Aidha, imeelezwa kuwa mtoto huyo alibakwa na kulawitiwa na wanaume hao mwezi Februari mwaka huu nyumbani kwao ambapo anaishi na baba yake baada ya mama yake mzazi kufariki mwaka 2020 ambapo mtuhumiwa wa kwanza Bw. Ambrose alitumia fursa hiyo kumfuata mtoto huyo ndani ya nyumba yao wanayoishi kumbaka na kumlawiti wakati baba akiwa ameenda kwenye majukumu yake ya kila siku.

Mtuhumiwa wa pili Bw. Michael Lukas alikuwa akimtuma mtoto huyo dukani kununua vitu na wakati akirejea anamdanganya na kumuingiza ndani kwake kumbaka na kumlawiti.

Hata hivyo, mahakama baada ya kujiridhisha na Ushahidi imeamua kutoa adhabu hiyo kali kwa watuhumiwa wote kwa makosa hayo ili iwe ni fundisho kwa watu wengine wenye nia ovu ya kutaka kufanya vitendo kama hivyo kwa watoto.

Kwa upande wake Mdau kutoka dawati la haki ya mama na mtoto BAKWATA Farida Moseneka, licha ya kuishukuru Mahakama hiyo pamoja na Serikali kwa kutenda haki dhidi ya mtoto huyo, Ameiomba jamii kuendelea kutoa ushirikiano kwa kuibua matukio ya kikatili yanayotendeka kwenye jamii na kuyafikisha kwenye uongozi wa Serikali kwaajili ya kuyachukulia hatua za kisheria badala ya kusuluhisha kimila na kupelekea mtoto kukosa haki yake ya msingi.

Naye Afisa Ustawi wa Jamii Kiongozi halmashauri ya Arusha, Beatrice Tengi ameipongeza mahakama kwa kutenda haki kwa kuhakikisha haki ya mtoto imepatikana

Ameongeza kuwa licha ya kuwa serikali kwa kushirikiana na wadau inatoa elimu kwa kwa jamii juu haki za watoto, bado kuna changamoto kwa jamii kufanya ukatili kwa watoto na baadhi ya wanajamii kushindwa kutoa ushahidi kwenye kesi kwa kuhofia kutengwa na ndugu, jamaa na marafiki.


ARUSHA DC ni Yetu, Tushirikiane Kuijenga"




Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.