Wajumbe wa Kamati ya Elimu,Afya na Maji toka Halmashauri ya Wilaya Arusha wakipitia ajenda mbalimbali zilizowasilishwa kupitia teknolojia ya simu ya kiganja. Kikao hicho ni cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2024/2025 chini ya Mwenyekiti wake Mhe.Baraka Simon Mesiaki ( Diwani wa Kata ya Oltrotu).
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.