• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
Arusha District Council
Arusha District Council

Serikali ya jamuhuri ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili Makuu
    • Mikkati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara na Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fadha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Works
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Umwagiliaji na Ushirika
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • UKIMWI/ AIDS
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Livestock
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma Zetu
    • Health
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Maadili ya Madiwani
      • Uchumi Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Vikao vya Timu ya Uendeshji ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mktaba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa UMMA
    • Video za Shoghuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAKULIMA WATAKIWA KUFANYA UTAFITI WA MASOKO KABLA YA KUAMUA KULIMA ZAO HUSIKA

Posted on: August 8th, 2022

Na Elinipa Lupembe.

Katika mkakati wa kutekeleza Ajenda 10 - 30 Kilimo Biashara, wakulima wametakiwa kufanya tafiti  kwenye soko kabla ya kuotesha mazao, lengo likiwa kufahamu mazao yanayohitajika sokoni kwa msimu husika ndipo wajipange kulima zao ambalo litauzika kwa bei nzuri wakati wa mavuno kulingana na msimu.

Kwa kuanza kufanya tafiti sokoni kutamuwezesha mkulima kufikia Ajenda 10 - 30 ya Kilimo biashara kwa kulima kulingana na mahitaji ya mazao yanayohitajika sokoni na kuuza kwa bei ambayo itampatia faida kubwa.

Watalamu wa  Kilimo halmashauri ya Arusha, wamebainisha kuwa wanaendelea na mkakati wa kutoa elimu kwa wakulima, kabla ya kuotesha zao flani, ni vema kufanya tafiti kwenye masoko, ili kutambua mahitaji ya zao katika soko kwa wakati husika ndipo arudi shambani kulima zao ambalo linahitajika sokoni kwa wakati huo.

Afisa Kilimo mbogamboga, halmashauri ya Arusha, Lucy Mvungi, ameweka wazi kuwa, wakulima wamekuwa wakilima kwa mazoea bila kufanya tafiti za uhitaji wa soko kwa wakati huo, matokeo yake inapofikia kipindi cha mavuno, huuza mazao kwa bei ndogo na kujikuta wakipata hasara tofauti na matarajio yao.

"wakulima wengi wanalima kwa mazoea, wakiona mmoja analima nyanya wote watajielekeza kulima nyanya, jambo ambalo ikifikia kipindi cha mavuno nyanya zinafurika na zinakosa bei, inamlzimu mkulima kuuza kwa bei ya chini sana na kujikuta napata hasara na weakati mwingi hukata tamaa ya kuendelea na kilimo, hivyo utafiti kwa mkulima nijambo la muhimu sana na lifanyike katika hatua ya mwanzo kabisa wakati wa maandalizi ya kulima" Amesistiza Lucy

Ameongeza kuwa, Ili kuondoakana na changamoto hiyo, wakulima wanashauriwa kuanzia sokoni kutambua uhitaji wa soko, ndipo kurudi shambani kufanya kilimo kulingana na hitaji la soko kwa wakati husika.

baada ya kuamua zao la Kulima, Aidha Afisa Kilimo huyo amesisitiza pia uchaguzi wa mbegu bora ni muhimu katika kilimo ili kupata mazao bora na mengi kwa ajili ya kupata faida na kuongeza kipato zaidi.

Inashauriwa mkulima kutumia mbegu ambazo zimeandaliwa kitaalamu ili kupata mavuno bora na kwa wingi kuliko kurudia kupanda mbegu mara baada ya kuvuna zao husika.

Maonesho ya Nanenane 2022 kanda ya Kaskazini yanendelea kwenye viwanja vya Nanenane eneo la Themi - Njiro Jijini Arusha yenye Kaulimbiu ya  "AJENDA YA 10 -30 KILIMO NI BIASHARA 'SHIRIKI KUHESABIWA KWA MIPANGO BORA YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI"


SHIRIKI SENSA YAWATU NA MAKAZI 2022.

JIANDAE KUHESABIWA 23.08.2022

PICHA ZA MATUKIO







Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA ENABOISHU FM - ARUSHA DC May 26, 2025
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 ARUSHA DC June 11, 2023
  • ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS TAMISEMI, MHE. MOHAMED O. MCHENGERWA 17 SEPTEMBA 2024 September 13, 2024
  • MTIHANI WA DARASA LA SABA 11-12/09/2024 September 09, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA CHAKULA BORA

    May 28, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WAPEWA ELIMU YA AFYA YA MAMA NA MTOTO

    May 27, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA

    May 26, 2025
  • RC MAKONDA ATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA YA AFRIKA ARUSHA

    May 25, 2025
  • Tazama zote

Video

Video zaidi

Viunganishi vinavyoingiliana

  • Leseni ya vileo
  • Fomu ya ukaguzi

Viunganishi vinavyohusiana

  • Tovuti kuu ya serikali
  • Tamisemi
  • Utumishi portal
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Mkoa wa arusha
  • ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Sekei Road

    Anuani ya posta: 2330 Arusha

    Simu : +255 027 2502737

    Simu: 073 65000476

    Barua pepe: ded@arushadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.